Cyrill aeleza sababu za kuachana na Feza Kessy

Cyrill Kamikaze na Feza Kessy.

Kupitia EATV & EA Radio Digital, msanii Cyrill Kamikaze, ameeleza sababu iliyomfanya aachane na mrembo Feza Kessy, ikiwa ni pamoja na kutotaka kuweka wazi masuala yake ya mahusiano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS