Fahamu wanandoa walioishi kwa miaka 80 bila Mtoto
John Henderson (106) na mkewe Charlotte Curtis (105), ni binadamu ambao wanashikilia rekodi ya kuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu zaidi duniani na wanategemea kufanya kumbukumbu ya kutimiza miaka 80 ya ndoa yao, ifikapo siku ya Disemba 22, 2019.