Hatma ya Erick Kabendera bado ipo kwa DPP
Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Erick Kabendera, imepigwa kalenda hadi Januari 2, 2020 itakaposikilizwa tena, ambapo upande wa utetezi, umeieleza Mahakama kuwa bado wanaendelea kufanya majadiliano na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP),kufuatia barua