Anavyoendelea aliyekunywa sumu kisa matokeo form 4

Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe, Dkt. Ahmed Ramadhan.

Kijana Michael Aroni (20) Mkazi wa Kijiji Cha Ihanda mkoani Songwe amenusulika kifo baada ya kunywa sumu kufuatia kupata Div. 4 ya 26, katika matokeo ya kidato Cha 4 yalitolewa jana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS