Rage aeleza Simba watakavyovuna pesa za Samatta

Kushoto ni Ismael Aden Rage na kulia ni Mbwana Samatta

Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage, amesema alisaini mkataba na TP Mazembe ambao unaiwezesha Simba kupata asilimia 20 ya pesa za mauzo ya Mbwana Samatta kila anapokwenda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS