Awalawiti watoto wawili kwa kuwaficha makaburini

RPC Manyara, Paul Kasabago.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linamsaka mwanaume ambaye bado hajajulikana, aliyewalawiti watoto wawili wenye umri wa miaka Nane na mwingine miaka Tisa, baada ya kuwarubuni na kuwapa 500 na kisha kuwafanyia kitendo hicho, huku akiwatishia kuwaua kama hawatofuata atakacho waambia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS