'Mmenisaidia kumsitiri, Mama ni mmoja' - Kabendera
Leo Januari 3, 2020, imefanyika ibada ya kuuga mwili wa mama yake mzazi na Mwandishi wa Habari, anayekabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, Erick Kabendera, Verdiana Mujwahuzi, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mt Francis Xaviel Chang'ombe, jijini Dar es Salam.