Mwili wa Mama Kabendera wawasili Bukoba

Mwili wa Mama mzazi wa Erick Kabendera, ukiwasili Bukoba

Mwili wa Mama mzazi wa Mwandishi wa Habari Erick Kabendera, umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Mjini Bukoba na kupokelewa na ndugu na jamaa, ukitokea jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS