Aliyerekodi video ya Polisi akiua mtu apata kiwewe
Msichana Darnella Frazier (17) ambaye amerekodi video iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Polisi akimkandamiza shingoni George Floyd hadi kufariki, amesema amepata kiwewe baada ya kurekodi tukio hilo.