Dkt Kikwete ashangazwa na Msukuma aliyefukuzwa
Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, ameonesha kushangazwa na maamuzi ya Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Magufuli, baada ya kumfukuza mfanyakazi Msukuma wa Ikulu, ambaye alishindwa kununua incubator ya kutotoa mayai ya Tausi.