Kushoto pichani ndiyo Chidy Designs aliyemvalisha pete ya uchumba Jacqueline Wolper
Msanii wa filamu hapa nchini Jacqueline Wolper ameonekana kuvalishwa pete ya uchumba siku ya jana maeneo ya dukani kwake Sinza makaburini na mfanyabiashara wa mavazi bwana Chidy Designs.