"Kwetu mwizi hapigwi, ila humuangalia yupoje" - AT Msanii wa Mduara AT Hakuna wimbo mbaya kama wa mwizi hasa akiimbiwa kutoka kwa raia ambao wamemzunguka katika mazingira aliyopo, na hujawahi kumuacha mwizi yeyote salama zikishapigwa hizo kelele. Read more about "Kwetu mwizi hapigwi, ila humuangalia yupoje" - AT