JPM ampongeza Bilionea mpya, 'utafute na Mwanamke'

Kushoto ni Bilionea mpya Tanzania Saniniu Laizer na kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amempongeza mchimbaji mdogo wa madini aliyetangazwa kuwa Bilionea mpya leo nchini, mara baada ya kuchimba na kuuza mawe mawili ya madini ya Tanzanite yenye uzito wa Kilogramu 15 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 7.8.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS