Waziri atangaza mkakati eneo la Jangwani
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Musa Hassan Zungu ameagiza kusafishwa mara moja kwa eneo la Jangwani ambalo limezingirwa na vifusi vya mchanga vilivyotokana na miradi ya ujenzi.

