Wamiliki viwanda vya minofu waomba ndege kuongezwa
Wamiliki wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki kanda ya ziwa wameiomba Serikali kuongeza ndege za mizigo ili kuwawezesha kusafirisha minofu mingi itakayosaidia kuongeza kipato chao na nchi kwa ujumla.