Mnyika atoa neno kwa wagombea Urais waliojitangaza

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema kuwa hawezi kuwazungumzia watu waliojitangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, wanayo nia ya kugombea Urais kupitia chama hicho, ili hali mpaka sasa hivi bado hawajawasilisha barua zao ndani ya ofisi yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS