Selasini aeleza chanzo kifo cha Kaka yake
Mbunge wa Rombo kupitia CHADEMA Joseph Selasini, amemzungumzia kwa kina Kaka yake ambaye alikuwa Mwanasheria na Mhadhiri Dkt Masumbuko Lamwai na kusema kuwa afya yake ilidhoofika kwa kipindi cha wiki mbili zilizopita na baadaye akashikwa na Malaria kabla ya umauti kumfika.