TFF yatoa msimamo wake kuhusu kurejesha ligi

Makao Makuu ya TFF Krume Ilala Dar es salaam

Shirikisho la soka nchini (TFF), limeweka wazi kuwa linashirikiana na Bodi ya Ligi (TPLB), kuhakikisha ligi kuu inarejea, lakini bado mchakato huo ni wa ndani kwani unategemea tamko la serikali juu ya mwenendo wa janga la Corona.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS