
Baharia Dilshard Multaza
Akizungumza kwenye kipindi cha Mama Mia ya East Africa Radio inayoruka kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia 4:00 Asubuhi hadi 6:00 Mchana Baharia Dilshard Multaza amesema,
"Inaniuma sana kuona Baharia wa kike anasoma halafu hapati kitu, sisi ndiyo tunafanya uwezeshaji tunataka tutambulike na tupewe heshima yetu, kwa ujumla hali ya bahari ni ngumu sana kuna muda inachafuka ghafla,tunapata majanga mengi, tunakufa, meli kuondoka na mizigo, kupoteza abiria na tunashutumiwa kwamba ndiyo tuna sababisha matatizo kwa hiyo ikitokea hivyo unapoteza muelekeo"
Mengine zaidi aliyoyazungumza kuhusiana na maisha ya baharia wa kike, mikasa na wanavyokutana navyo, tazama kwenye video hapa chini.