Wema Sepetu atoa tahadhari kuhusu kuvaa kigodoro
Baada ya ku-trend kwa picha zake mitandaoni akiwa na mbunifu wa mavazi Martin Kadinda, Madam wa nchi na Staa wa filamu Wema Sepetu ametoa tahadhari kuhusu mguu yake na suala la kuvaa kigodogoro ili kuongeza ukubwa wa makalio yake.
