Real Madrid kutwaa ubingwa wa La Liga Alhamis ?
Klabu ya soka ya Real Madrid itatwaa ubingwa wa ligi kuu ya Hispania iwapo itaifunga Villarreal siku ya Alhamis katika mechi ambayo itawahakikishia wanamaliza juu ya mabingwa watetezi wa La Liga, Barcelona.

