Akamatwa na vitenge 600 vyenye nembo ya CCM

Mfano wa vitenge vyenye nembo ya CCM

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Shinyanga, inamshikilia Joseph Jonas Tasia kwa kukutwa na doti 600 za vitenge vyenye nembo za Chama Cha Mapinduzi na vingine vya kawaida. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS