Aliyefanikisha usajili wa Samatta atupiwa virago.

Mshambuliaji wa klabu ya AstoNVilla, Mbwana Samatta akimzunguka mlinzi wa Leicester City, John Evance katika mechi ya EPL.

Klabu ya Aston Villa imemfuta kazi mkurugenzi wake wa michezo , Jesus Garcia Pitarch baada ya kukosoa sera za usajili za klabu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS