JPM atangaza siku 7 za maombolezo kifo cha Mkapa

Marehemu Benjamin Mkapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza siku 7 za maombolezo kuanzia leo Ijumaa Julai 24, 2020, kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Dkt. Benjamin William Mkapa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS