Mchenga Bball Stars waingiza timu katika ligi.

Mchenga Bball Stars baada ya kutwaa ubingwa wa Sprite Bball Kings msimu wa mwaka 2019.

Mabingwa wa kihistoria wa michuano ya mpira wa kikapu ya Sprite Bball Kings inayoandaliwa na kituo cha East Africa Radio na Tv kwa udhamini wa kinywaji cha Sprite ,Mchenga Bball Stars wameingiza timu yao katika ligi daraja la kwanza msimu huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS