Takwimu zinavyoiumiza Arsenal mbele ya Man City.

Mshambuliaji kinara wa Arsenal, Piere Emereck Aubameyang (Kushoto), akionyesha umwamba wake mbele ya mlinzi wa Manchester City Aymeric Laporte (Kulia).

Nusu fainali ya kwanza ya FA cup nchini England inachezwa leo saa 9 na dakika 45 usiku katika uwanja wa Wembely ambapo Arsenal wataminyana na Manchester city.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS