Yusuph Mlela ajibu kuhusu kujiweka mwanamke Msanii wa filamu Yusuph Mlela Msanii wa filamu Yusuph Mlela amefunguka kuhusu lifestyle yake na kusema, atafanya vitu vyote kama kusuka au kuvaa hereni lakini hawezi kujiweka kama mwanamke japo wapo wengine wanaofanya hivyo. Read more about Yusuph Mlela ajibu kuhusu kujiweka mwanamke