Mchujo CCM, wajumbe kazini leo Bendera za CCM Mchakato wa mchujo kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), walioomba kugombea Udiwani, unaanza leo kwa vikao vya chama hicho vya Kata kuwajadili wagombea. Read more about Mchujo CCM, wajumbe kazini leo