Mwarobaini wa shida za Yanga,Simba,Azam huu hapa

Aliyewahi kuwa Mtendaji mkuu wa Azam Fc, Saad Kwemba (Kushoto) akiwa na Abdul Mohamed (Kulia) katika moja ya mikutano na Waandishi wa Habari.

Imeelezwa kuwa ili vilabu vya Yanga, Simba na Azam viepukane na changamoto ya kusajili makocha na wachezaji ambao huwa baada ya muda mfupi wanaonekana hawafai, ni vyema waka ajiri wakurugenzi wa ufundi ambaye ndiye atakayetatua matatizo yanayowakabili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS