Aomba msaada anaumwa ini, figo na moyo Mwanahawa Shomari Safari ya miaka sita kitandani imekuwa ni hadithi ndefu, anasema kila siku moja yenye saa 24 kwake ni sawa na saa 48 kwa maumivu makali anayopitia. Read more about Aomba msaada anaumwa ini, figo na moyo