Kesi ya Afande Sasa ni Mahakama Kuu
Mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Dodoma chini ya Nyamburi Tungaraja inayosikiliza shauri la jinai namba 23627 imempa uhuru mlalamikiwa afande Fatma Kigondo kufika au kutofika mahakamani kutokana na mahakama hiyo kutokuwa na uwezo wa kutoa kibali cha kumkamata