
Picha ya Burna Boy, Wizkid na Davido
Tiwa Savage anasema “Ningemchagua Rema kwa sababu ninahisi hawa watu wakubwa watatu wameishi sana, ningempa nafasi kijana”.
Wewe ungechagua kumuokoa nani kwenye boti kati ya Ali Kamwe, Ahmed Ally,Diamond Planumz na Alikiba?