
Sergio Ramos - Nahodha wa zamani wa Real Madrid
Ramos mwenye umri wa miaka 38 alijiunga na Liga MX mwezi Februari baada ya kuondoka Sevilla mwishoni mwa msimu wa 2023-24.
Mshindi huyo wa Kombe la Dunia akiwa na Uhispania mwaka 2010, aliunganisha kwa kichwa mpira wa kona na kuifanya timu yake kushinda kwa mabao 2-1, likiwa bao lake la 120 katika maisha ya klabu , akiwa ameifungia Real Madrid mabao 101, 6 akiwa na PSG na 7 akiwa na Sevilla.