Dkt Wilbroad Slaa
Maamuzi hayo yametolewa leo Februari 27, 2025, baada ya Wakili wa Serikali Mwandamizi Job Mrema kuwasilisha nia ya DPP mbele ya Hakimu Mfawidhi Franco Kiswaga .
Shauri Na.993 la mwaka 2025 lilidai Dkt. Slaa ameshtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia mtandao wa X