
Mabingwa hao watetezi wa Tanzania Yanga SC katika mchezo wa mkondo wa Kwanza waliondoka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Abebe Bikila Addis Ababa huku mshindi yoyote atakuwa amekata tiketi ya kutinga makundi ya michuano hiyo.