Alhamisi , 25th Jul , 2024

Mkurugenzi wa Idara ya Ulinzi wa Viongozi nchini Marekani, Bi. Kimberly Cheatle amejiuzu kwenye nafasi hiyo baada ya maneno na mijadala kuwa mingi kwa shirika hilo kushindwa kuzia jaribio la mauaji ya Rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump.

 

Kujiuzulu kwa Kimberly Cheatle kunakuja baada ya kikao kizito na kamati ya bunge la nchini Marekani ambapo alipewa shutuma nzito za shirika hilo kudorora kwenye upande wa usalama.