Picha ya 2 Baba na Burna Boy kwenye picha ndogo
Akimuelezea Burna Boy, 2 Baba anasema “Burna Boy amefanya kazi na kuthibitisha na kujiweka muhuri kama mojawapo ya icon kubwa za muziki”.
“Yeye haihitaji mtu yeyote kumdhibitisha iwe kumpenda au kumchukia, ni aina ya msanii wa Africa na kuja kufanya vizuri sio kosa tumpe sifa zake kuliko kuchukia na tuache aendelee kutu-inspire”.
Yupi Icon wako wa muziki Africa?