Picha ya Pique na Shakira
Shakira anadai penzi lake na Gerlad Pique limemfanya kumrudisha nyuma na kuumizwa vibaya kimapenzi pia hatamlipizia kisasi kwa kumuongelea kwenye nyimbo zake kama ambavyo amefanya kwenye nyimbo zake zilizopita.
Wawili hao wamedumu kwenye mahusiano kwa miaka 11 na kupata watoto wawili Milan na Sasha baada ya kukutana mwaka 2010.