![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2024/03/24/mm.jpg?itok=XtmFUMP_×tamp=1711296467)
Basi lililopata ajali
ambaye alishindwa kukata kona.
Mkuu wa wilaya ya Muleba Dkt. Abel Nyamahanga, amesema kuwa ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa nane za usiku wakati likisafirisha wanafunzi kutoka Bukoba kuelekea mkoani Geita likiwa na jumla ya wanafunzi 35
Dkt. Nyamahanga amesema kuwa Mwanafunzi huyo ni wa kidato cha tano aliyejulikana kwa jina la Frank Matage mwenye umri wa miaka 17 wa shule ya Sekondari Kemibos iliyoko manispaa ya Bukoba huku majeruhi hao sita wote wamelazwa katika Hospital ya Rufaa ya mkoa