Sheffield imecheza jumla ya michezo 14 ya EPL na kupoteza michezo 11, kutoa droo michezo miwili na kushinda mmoja tuu dhidi ya Wolves mwezi Novemba.
Jumanne , 5th Dec , 2023
Timu inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza EPL, Sheffield United imemfuta kazi Kocha wake Mkuu Paul Heckingbottom baada ya kutokuwa na matokeo mazuri msimu huu.