Jumanne , 17th Oct , 2023

Hitmaker wa BongoFleva Marioo amewajibu mashabiki wanaodai kuwa mpenzi wake Paulah Kajala amefulia akisema hakuna kitu kama hicho ila ameamua kutulia zake.

Picha ya Marioo na Paulah

Zaidi mtazame hapa kwenye Interview aliyofanya na show ya Planet Bongo ya East Africa Radio.