
Picha ya Vanessa Mdee
Kupitia Insta Story yake Vee Money ameandika kuwa "Really missing Tanzania" akimaanisha "Kiukweli nai-miss Tanzania".
Vanessa Mdee ameondoka Tanzania mwaka 2019 kwenda kuishi Marekani na Rotimi ambaye ni mchumba wake na baba wa watoto wake wawili.