![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2023/09/22/WhatsApp Image 2023-09-22 at 3.41.13 PM.jpeg?itok=UT0RHmUg×tamp=1695399174)
Odegaard amekuwa na kiwango kizuri tangu ajiunge na washika mitutu hao, ambapo katika mechi 112 alizocheza amefanikiwa kufunga mabao 27 na kutoa pasi za mabao 15.
Unaambiwa matajiri wa Arsenal wamefanya kila linalowezekana kuhakikisha wanambakisha nahodha wa klabu hiyo Martin Odegaard (24), ambapo hatimaye nyota huyo ameweza kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka 2028.
Odegaard amekuwa na kiwango kizuri tangu ajiunge na washika mitutu hao, ambapo katika mechi 112 alizocheza amefanikiwa kufunga mabao 27 na kutoa pasi za mabao 15.