Jumatano , 20th Sep , 2023

SPORTSCOUNTDOWN: Sita kali za michezo leo zinasimamiwa na kijana wa Mama @justinekessytz, hapa anazo zote kuanzia zile za kikapu mpaka mpira wa miguu, kama ulitamani kusikia kuhusu Namungo na Yanga mchezo wa leo pale ''Azam complex'' basi kwa uchache mambo yako hivi.