Ney wa Miteg
Amesema anafanya hivyo kwa lengo la kuwahamasisha vijana kujituma.
Ney amesisitiza kuwa, ni muhimu kwa kila staa kufanya hivyo, licha ya wengi kutafsiri kitendo hicho kama kujidai ama majigambo fulani hivi, akikazia kuwa hata kama watu wakichukia, kile anachokionesha ni ukweli anacho, na kinahamasisha wengine kuongeza jitihada ili kufanikiwa.