Kaimu Mkurugenzi wa Chemba ya Kilimo na Biashara (TCCIA) Nerbat Mapwele
Akizungumza leo katika jukwaa la vijana wa Afrika Mashariki Kaimu Mkurugenzi wa Chemba ya Kilimo na Biashara (TCCIA) Nerbat Mapwele amesema bado vijana wa Afrika Mashariki wana kabiliwa na changanoto nyingi ikiwemo katika ajira, ukatili wa kingonon kupitia mitandao ambao umekuwa ukiathiri vikubwa makundi ya vijana na kushindwa kufikia malengo yao.
Kwa upande wake Balozi wa vijana Afrika mashariki Jescca Mshama amesema katika jukwaa hilo vijana wamekutana na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo changamoto katika uongozi, ajira na masuaka ya ukatili wa kijinsia