
Wakizungumza sokoni hapo, wafanyabiashara hao wamesema, licha ya kuhamia sokoni hapo, baadhi yao wanadai kukosa maeneo kufanya biashara.
Kwa upande wake katibu wa soko hilo, chigwalu issa, akaeleza uwezo wa soko hilo na wafanyabiashara ambao tayari wamepokelewa sokoni hapo.
Soko kuu la kisasa la chuno lilijengwa kwa shilingi bilioni 5.3, na kuzinduliwa rasmi desemba 2020.