Arsene Wenger
"Ninaamini kwamba Arsenal itashinda ligi, Ninaamini kwa dhati, Inaonekana, kwangu, kama akili ya kawaida"
Pia Wenger amefunguka kuwa wachezaji wanaomvutia katika kikosi cha Arsenal ni pamoja na Eze, Odegaard, Havertz na Madueke
Baada ya Arsenal kusubiri taji la Ligi Kuu kwa miaka 22 mbio hizo zinaonekana kukaribia mwisho, lakini matokeo ya hivi karibuni yametilia shaka mbio za The Gunners kwenye ubingwa wa EPL
Kufuatia matokeo ya mechi ya wikendi iliyopita kati ya Arsenal na Manchester City , kocha huyo wa zamani wa Gunners ametoa mtazamo unaopinga uwezekano wa mashine ya City kuepukika.




