
Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi Ali Makame
Akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake Kamanda wa polisi mkoani humo Ali Makame, amesema kijana huyo alitoweka nyumbani kwao tangu Aprili 8, 2022, ndipo ndugu wakatoa taarifa kituo cha polisi na kuanza msako mara moja na kufanikiwa kumpata akiwa ameshajinyonga.
Kamanda Makame amesema kwamba sababu mojawapo iliyopelekea kijana huyo kujinyonga ni msongo wa mawazo.