Jumatatu , 18th Apr , 2022

Msanii 20 Percent ameshea msala aliowahi kukutana nao baada ya kukamatwa na polisi akiwa na Afande Sele wakidaiwa kutaka kuiba Bank.

Picha ya msanii Twenty Percent

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia tukio hilo.